Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa mhudumu wa mapokezi wa chumba cha mazoezi na masaji, Zuhura Saleh (kushoto) wakati alipokuwa akitembelea kukagua maeneo na mazingira ya Hoteli ya ya Kitalii ya Gold Zanzibar Beach House & Spa, iliyopo Mkoa wa Kaskazini A, Unguja, wakati wa hafla ya uzinduzi wa hoteli hiyo, uliofanyika leo Januari 11, 2013, mjini Unguja. Kulia ni Waziri wa Fedha, Zanzibar, Mhe. Omary Yusuph Mzee. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Gold Zanzibar Beach House & Spa, Alexandro Azola (ushoto) wakati alipokuwa akitembelea kukagua maeneo na mazingira ya Hoteli ya hiyo, iliyopo Mkoa wa Kaskazini A, Unguja, wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo Januari 11, 2013, mjini Unguja. Picha na OMR
-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Gold Zanzibar
Beach House & Spa,
Alexandro Azola (ushoto) wakati alipokuwa akitembelea kukagua maeneo na
mazingira ya Hoteli ya hiyo, iliyopo Mkoa wa Kaskazini A, Unguja,
wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo Januari 11, 2013, mjini
Unguja. Kulia ni Waziri wa Fedha, Zanzibar, Mhe. Omary Yusuph Mzee.
Picha na OMR
No comments:
Post a Comment