Tuesday, January 8, 2013

KIKUNDI CHA TO GETHER WE CAN CHA UKARIBISHA MWAKA MPYA KWA KUTOA MSAADA KWA JAMII.

Kikundi cha Together We Can kinachoundwa na Warembo Sita wakiongozwa na Briggity Mwazengo, Veronica Mande, Eva Nyato,Aney ,Lahabu  Kolenelo na Amina Juma  hivi karibuni walifanya sherehe ya kuanga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013.Katika maadhimisho hayo yaliambatana na kwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali  ,ikiwemo Maharage ,mchele, sukari ,unga  ,mafuta vyote vikiwa na thamani ya shilingi 200,00. pamoja na pesa tathilimu kiasi cha 100,000 kwa bibi  aliyejulikana Ruphin Lyaruu anayeishi na wajukuu 8 katika chumba kimoja huko Mabibo jijini Dar es Salaam, bibi huyo anasumbuliwa na maradhi mbalimbalia yakiwemo ugojwa wa utapia mlo .Kikundi hicho kimelenga kuendeleza kusaidia jamii kutokana na kile kidogo wanachpoata kutokana na michango yao wanayokusanya. pichani Eva Nyato akimjulia hali bi Hannemary Lyaruu anayesumbuliwa na maradhi





 Warembo wanaounda kundi la Together We Can wakiwa katika picha ya Pamoja.
Kikundi cha Together We Can kinachoundwa na Warembo Sita wakiongozwa na Briggity Mwazengo, Veronica Mande, Eva Nyato,Aney ,Lahabu  Kolenelo na Amina Juma  hivi karibuni walifanya sherehe ya kuanga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013.Katika maadhimisho hayo yaliambatana na kwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali  ,ikiwemo Maharage ,mchele, sukari ,unga  ,mafuta vyote vikiwa na thamani ya shilingi 200,00. pamoja na pesa tathilimu kiasi cha 100,000 kwa bibi  aliyejulikana Ruphin Lyaruu anayeishi na wajukuu 8 katika chumba kimoja huko Mabibo jijini Dar es Salaam, bibi huyo anasumbuliwa na maradhi mbalimbalia yakiwemo ugojwa wa utapia mlo .Kikundi hicho kimelenga kuendeleza kusaidia jamii kutokana na kile kidogo wanachpoata kutokana na michango yao wanayokusanya.

No comments:

Post a Comment