Tuesday, April 9, 2013

SHEREHE YA KITCHEN PART YA SABINA ALEXANDAR ILIVYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA KILIMNJARO ULIOPO KATIKA VIWANJA VYA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.

 Watalaam wa kutengeneza nywere kutoka katika saloon ya zena wakimpamba Bi Sabina Alexander.
 Akiwa katika pozi baada ya kumalizika kupambwa.
 Sabina Alexander akitabasamu kwa furaha .
 Akiwa katika Picha ya Pamoja na Msimamizi wake bi,Juliana Choki.
 Mama Mzazi wa Sabina.
 Wafanyakazi wenzake kutoka katika Chuo Cha Elimu ya Biashara CBE.
Sabina akibusiwa na rafiki yake wa ukweli Prisca
 Sabina na Mpambe wake wakikata keki.
 Sabina akiwa amebebwa na mama yake kwa mala ya mwisho ikiwa ni ishara ya kumkubusha kuwa mtoto hakui kwa wazazi wake.
 Mambo ya kiasili wakiwa tayari kunywa shampeni .
Sherehe ya Kitchen Part ya Sabina Alexander iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Tarehe 7 Aprily 2013 Katika ukumbi wa Kilimanjaro uliopo katika Viwanja vya Maonyesho ya Kitaifa ya Biashara.Picha na Albart Jackson 0652-204 483.

No comments:

Post a Comment