Sherehe ya Harusi ya Bwana Kassian na Bi , Sabina Alexandar iliyofungwa katika Kanisa Katoliki Chang,ombe na Kufauatiwa na Tafrija kubwa ya kukata shoka iliyofanyika Katika Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam, Bwana Harusi ni mwajiriwa katika Wizara ya Habari akiwa kama mtaalam wa Computer.(Computer Analyst) na Bi Harusi ni mwajiriwa wa katika Chuo cha Elimu ya Biashara CBE.
No comments:
Post a Comment