Thursday, April 18, 2013

MKUTANO WA CCM GAIROI WATIKISA

 Sabina Alexandar akiwa na mama yake mzazi hivi karibuni wakati wa sherehe ya mdoa yake iliyofanyika Katika Kanisa la Chang,ombe jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na tafrija kubwa iliyofanyika katika Hoteli ya Lamada.
 . Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye  akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM kwenye  uwanja a shule ya Msingi Gairo B, mjini Gairo mkoani Morogoro jioni hii.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana  akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara jioni hii kwenye uwanja wa shule ya msingi Gairo B, Gairo, mkoani Morogoro. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment