Wednesday, November 6, 2013

TCRA YATUNUKIWA CHETI NA UPU _ UMOJA WA POSTA DUNIANI KWA UBORA WA ANWANI ZA MAKAZI





On 1st November 2013, the United Republic of Tanzania was awarded by the Universal Postal Union (UPU) a recognition certificate for her contribution to the UPU S42 Addressing Standard Template Development. The recognition ceremony was organised during the conference of the Postal Operations Council at the capital city of Switzerland which is the seat of the Universal Postal Union which is a specialized agency of the United Nations (UN) in matters related to postal communications. Besides Tanzania (United Rep.), Belarus, Belgium, China (People's Rep.) and Czech Republic qualified for the award of recognition certificate.

Quality addressing and postcode systems are essential to the socio-economic infrastructure and development of a country. They also form the cornerstone of quality postal services, facilitating business transactions and hence the country's economic growth. Address networks are crucial to businesses’ ability to operate. Address networks are infrastructures that facilitate the process of doing business and, consequently, economic development.

2. S42 INTERNATIONAL ADDRESSING STANDARD
The UPU standard provides a kind of dictionary of the possible components of postal addresses, together with examples and constraints on their use in a given country. The S42 international addressing standard consists of:


a set of postal address components used in worldwide addresses;
languages for expressing address templates, i.e. formal descriptions of address formatting rules;
provides country-specific address templates. A country defining its S42 template provides precise information about its address elements and formatting rules;
creates a library of templates that can be easily incorporated into computer systems for managing addresses.
During the process of launching of template development, Tanzania contacted the S42 expert group at the Universal Postal Union by submitting a sample data set, which consisted address examples representing all the address formats recommended by the United Republic.
Each address in the sample needed to be mapped into S42 elements reflecting their use in the country. For example, mapping the address lines in different delivery methods and explaining whether is a rural or urban address with indication of thoroughfare type.
On the basis of a mapped sample, the S42 expert group creates a template which is fed into a computer program known as a tester. This program reassembles each address from elements and checks the result against the submitted data. The test of the template is positive when all addresses from the sample have been assembled correctly.
At the end of the process, the Tanzania delegation to the Addressing Group was involved in checking the following:
that all addresses in the sample data set are properly formatted;
the sample contains a sufficiently complete representation of formats recommended by the United Republic; and
the addresses are correctly mapped to S42 elements.
Following the procedure above, the Tanzania S42 standard was approved in April 2013 and a ceremony was planned for 1st November 2013..
3. RECOGNITION CEREMONY
The Certificate of Recognition is granted when a country has achieved the development
and maintenance of an agreed or accepted address template.The S42 recognition ceremony is normally designed to raise postal administrations’ awareness on the value of S42 and encourage them to join the S42 certification program.


From left representative of Czech Republic, Chairman of the Addressing Group, Mr. Ali Bakheet from Saud Arabia Director General of the UPU, Ambassador Bishar Hussein, Representative of Tanzania Mrs. Rehema Makuburi, Director Postal Affairs TCRA and China representative.



4. TANZANIA S42 TEMPLATE
The approved Tanzania S42 template comprising of 6 address types:-
I. URBAN - Street type (Use of Ward Postcode)
II. URBAN - Informal Settlements (Use of Ward Postcode)
III. RURAL with the village setup - Village + Hamlet or Kitongoji (Use of Ward Postcode)
IV. POSTAL OFFICE DELIVERY (P.O. Box, Private bag, Postrestante) - (Use of Post office Postcodeallocated to the respective post offices)
V. Combination of P. O. Box and Street type (Use of the Ward Postcode)
VI. Combination of Street type with Big mailers assigned Postcodes (Use of Government or Big mailers Postcode)

5. THE IMPORTANCE OF THE S42 ADDRESSING STANDARD RECOGNITION CERTIFICATE
· Efforts by Tanzania to implement the new addressing and postcode system have produced positive results in the international arena.
· Standards are important prerequisites for effective postal operations and for interconnecting the global network. Tanzania is expected to boost its global connectivity.
· The standards improve the exchange of postal-related information between posts, and promote the compatibility of UPU and international postal initiatives.
· Tanzania has become one of the elite group of countries to attain S42 Addressing standard recognition.
· The address template represents the internally used and publicly promoted address format. The postal sector is expected to capitalize on this strength to promote its domestic business.
· It is a good example to the world for the country that has offered the UPU a Special Ambassador to drive the Addressing the World – an Address for Everyone initiative.
Issued By;

Director General
06th November 2013

IJUMBA ENTERPRISES KUJA NA SULUHISHO LA AJARI ZA PIKIPIKI (BODABODA)

Kampuni ya Ijumba Enterprises kuzindua mradi huu unaomgusa kila mmoja wetu mwanzoni mwa mwezi wa kumi na moja  kwa ushirikiano na Jeshi la Polisi Kitengo cha usalama Barabarani na Chuo cha Usafirishaji cha Taifa(NIT)  Kuzindua mradi wa uitwao SAFER JOURNEY (SAFIRI SALAMA) Mwanzoni mwa mwezi wa 11 / 2013  Wenye lengo la kupunguza Ajali za pikipiki barabarani (Boda Boda)  ambazo si za lazima kwa watumiaji wa pikipiki, Kwa kuongeza ufahamu wa matumizi ya barabara kupitia semina,warsha,vipindi vya Redio na TV.

Pia Ijumba Enterprises imegundua kuwa Boda boda walio wengi  ni chini ya miaka kumi na nane hivyo hawana leseni ya kuendeshea vyombo hivyo vya moto, kupitia mradi huu vituo vyoote vya Bodaboda na uongozi wake lazima visajiliwe na vitambuliwe na mamlaka husika, pia Bodaboda lazima wawe na vitambulisho, Vitambulisho hivyo vitatolewa kwa dereva wa pikipiki mwenye leseni ya kuendeshea pikipiki halali. Kwa pamoja tunaweza kuepusha Ajali za pikipiki ambazo si za lazima.
 Endesha kwa usalama Epusha Ajali. Tunapatikana Face book,Twitter, na Skype. Email: safejourneyproject@gmail.com.

0754 038 158 / 0655 038 158

Saturday, October 19, 2013

BENKI YA BIASHARA YA KCB TANZANIA IMEENDELEA KUTOA MSAADA WA MADAWATI 100 KWA SHULE 6 NA MEZA 131 KWA SHULE YA SEKONDARI YA OSTERBAY JUMLA YA MADAWATI 731 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 121 YAMETOLEWA MSAADA KWA SHULE ZA MAKUMBUSHO, MBUYUNI, MSASANIB,MKUMNGUNI,HANANASI ,SINZA NA SEKONDARI YA OSYTEBAY ZOTE ZA WILAYA YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM.


 Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif wakifurahia madawati 100 baada ya kukabidhiwa  msaada huo na benki ya KCB  Tanzania ,Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yametolewa  kwa shule za msingi 6 na sekondari moja ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam

Afisa Mahusiano wa benki ya KCB Tanzania Fabian Qwaray akiwasikiliza wanafunzi wa shule ya msingi Hananansif huku wakiwa wamekalia madwati mapya  100 yaliyotolewa na benki hiyo . Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yametolewa  kwa shule za msingi 6 na sekondari moja ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Afisa Mahusiano wa benki ya KCB Tanzania Fabian Qwaray (kulia )akimkabidhi Mwalimu Mkuu  wa shule ya msingi Hananasifu Peter Kimangano msaada wa madwati 100 yaliyotolewa na KCB . . Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yalitolewa  kwa shule za msingi  Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
MKIKAA KWENYE MADAWATI KAMA HIVI MTAKUWA NA UELEWA SANA: Meneja Mambo ya Jamii wa benki ya KCB Tanzania Hellen Siria, akiwafundisha wanafunzi wa darasa la Tatu katika shule ya msingi Hananasifu baada ya benki hiyo kukabidhi msaada wa madwati 100. Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yalitolewa  kwa shule za msingi  Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Afisa Mahusiano wa benki ya KCB Tanzania Salome Kessy akiangalia moja ya madaftari ya wanafunzi wa shule ya msingi Mkunguni ,baada ya benki hiyo kukabidhi msaada wa madawati 100 kwa shule hiyo. Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yalitolewa  kwa shule za msingi  Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 Afisa Mahusiano wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania ,Victoria Kisima  na Mwalimu Mkuu wa shule ya Mkunguni  Wifrida Lweyemamu  wakiangalia wanafunzi wa shule hiyo walivyonavyofurahia  msaada wa madawati 100, waliyopewa na benki hiyo . Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yalitolewa  kwa shule za msingi  Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam

Maafisa Mahusiano wa benki ya KCB Tanzania kutoka kushoto ni jinsi anatakavyojisomea baada ya kupata dawati la kushoto , Victoria Kisima   na kulia ni Hellen Siria wakionyesha na mwanafunzi wa shule ya msingi jinsi watakavyo tumia madawati  100 waliyopewa msaada  na benki hiyo. Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yalitolewa  kwa shule za msingi  Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.  
 Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasifu wakifuatilia mchakato wa kukabidhiwa msaada wa madawati 100 na benki ya KCB Tanzania.


Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasifu iliyopo eneo la Mkwajuni Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiwa wamebeba moja ya Dawati kati ya madawati 100 waliyopewa msaada na benki ya KCB Tanzania .Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yalitolewa  kwa shule za msingi  Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam

Thursday, October 17, 2013

BENKI YA BIASHARA YA KCB YAKABIDHI MSAADA WA MADAWATI 700 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 121. KWA SHULE 6 ZA MSINGI NA 1 SEKONDARI YA OBAY.ZOTE ZA WILAYA YA KINONDONI.

Mwenyekiti wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund Mndolwa akisalimiana na mmoja wa wanafuzi wa Shule ya msingi ya  Sinza katika hafala ya kukabidhi msaada wa madawati 700  kwa shule za msingi  6 na sekondari moja  zote za Wilaya ya Kinondoni. Jumla ya shilingi iliyofanyika katika Shule ya msingi Mbuyuni iliyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam,kwa shule 6 za msingi na sekondari  ya oysterbay  zote za  Wilaya ya Kinondoni  ,Madwati hayo yamegharimu kiasi cha shilini milioni 121.
 Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Oysterbay Gradius  Mhina akipokea msaada wa madawadi 100 kutoka kwa  Mwenyekiti wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund Mndolwa, katika hafla ya makabidhiano yaliyofanyika katika shule ya msingi Mbuyuni jijini Dar es Salaam. Jumla ya madawati 700 yenye thamani ya shilingi Milioni 121 yalitolewa kwa shule za msingi 6 na Sekondari 1 ya Osyterbay
Mkuu wa Shule ya msingi ya Mkunguni  iliyopo Wilya ya Kinondoni Winfrida Lweyemamu akikabidhiwa  msaada wa madawadi 100 na  Mwenyekiti wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund Mndolwa, katika hafla ya makabidhiano yaliyofanyika katika shule ya msingi Mbuyuni jijini Dar es Salaam. Jumla ya madawati 700 yenye thamani ya shilingi Milioni 121 yalitolewa kwa shule za msingi 6 na Sekondari 1 ya Osyterbay.
 Mwenyekiti wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund Mndolwa akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mbuyuni Dorothy Malecela  msaada wa madawati 100 kwa ajiri ya shule hiyo wakati wa hafla ya kukabidhi madawati 700 kwa shule za msingi za Mbuyuni, Mkunguni, Msasani B, Sinza, Makumbusho Hananasif na sekondari ya Oysterbay  zote za wilaya ya kinondoni jijini Dar es Salaam, madawati hayo yamegharimu kiasi cha Shilingi Milioni 121 Zilizotolewa na Benki hiyo
Mwenyekiti wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund Mndolwa akisalimiana na mmoja wa wanafunzi wa shule ya msingi Sinza  baada ya kukabidhi msaada wa madwati 100 kwa shule hiyo wakati wa hafla iliyofanyika  katika shule ya msingi Mbuyuni jijini Dar es Salaam,  Benki ya KCB imekabidhi msaada wa madawati 700  yenye thamani ya shilingi milioni 121 kwa shule za msingi za Mbuyuni, Mkunguni, Msasani B, Sinza, Makumbusho, Hananasif na sekondari ya Oysterbay  zote za wilaya ya kinondoni jijini Dar es Salaam, kutoka kulia ni  Mkuu wa Idara ya Masoko na Mahusiano wa KCB,Christina Manyenye na Mkuu wa shule ya msingi Sinza Emmanuel Mtakula.
Mwenyekiti wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund Mndolwa akisalimiana na mmoja wa wanafunzi wa shule ya msingi Msasani   baada ya kukabidhi wa msaada wa madwati 100 kwa shule hiyo wakati wa hafla iliyofanyika  katika shule ya msingi Mbuyuni jijini Dar es Salaam,  Benki ya KCB imekabidhi msaada wa madawati 700  yenye thamani ya shilingi milioni 121 kwa shule za msingi za Mbuyuni, Mkunguni, Msasani B, Sinza, Makumbusho, Hananasif na sekondari ya Oysterbay  zote za wilaya ya kinondoni jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mwalimu Mkuu  wa shule hiyo Victoria  Kamuli na Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji na Teknolojia wa KCB Rojas Mdoe.
 
Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif jijini Dar es Salaam, wakishuhudia Mwalimu wao Mkuu Peter Kimangano akikabidhiwa  msaada wa  madawati 100 na  Mwenyekiti wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund Mndolwa, wakati wa hafla iliyofanyika  katika shule ya msingi Mbuyuni jijini Dar es Salaam,  Benki ya KCB imekabidhi msaada wa madawati 700  yenye thamani ya shilingi milioni 121 kwa shule za msingi za Mbuyuni, Mkunguni, Msasani B, Sinza, Makumbusho, Hananasif na sekondari ya Oysterbay  zote za wilaya ya kinondoni jijini Dar es Salaam,
. Mwenyekiti wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund Mndolwa akipanda mti   katika viwanja vya shule ya msingi Mbuyuni jijini Dar es Salaam, baada ya kukabidhi msaada wa madawati 700 yenye thamani ya shilingi milioni 121. kwa shule za msingi Mbuyuni, makumbusho, Mkunguni, Hananasif, Msasani B ,Sinza na Shule ya Sekondari ya Oysterbay  (kila shule ilikabihiwa madawati 100)zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya msasani Christina Kirigiti na Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa KCB Chiristina Manyenye