Saturday, October 19, 2013

BENKI YA BIASHARA YA KCB TANZANIA IMEENDELEA KUTOA MSAADA WA MADAWATI 100 KWA SHULE 6 NA MEZA 131 KWA SHULE YA SEKONDARI YA OSTERBAY JUMLA YA MADAWATI 731 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 121 YAMETOLEWA MSAADA KWA SHULE ZA MAKUMBUSHO, MBUYUNI, MSASANIB,MKUMNGUNI,HANANASI ,SINZA NA SEKONDARI YA OSYTEBAY ZOTE ZA WILAYA YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM.


 Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif wakifurahia madawati 100 baada ya kukabidhiwa  msaada huo na benki ya KCB  Tanzania ,Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yametolewa  kwa shule za msingi 6 na sekondari moja ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam

Afisa Mahusiano wa benki ya KCB Tanzania Fabian Qwaray akiwasikiliza wanafunzi wa shule ya msingi Hananansif huku wakiwa wamekalia madwati mapya  100 yaliyotolewa na benki hiyo . Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yametolewa  kwa shule za msingi 6 na sekondari moja ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Afisa Mahusiano wa benki ya KCB Tanzania Fabian Qwaray (kulia )akimkabidhi Mwalimu Mkuu  wa shule ya msingi Hananasifu Peter Kimangano msaada wa madwati 100 yaliyotolewa na KCB . . Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yalitolewa  kwa shule za msingi  Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
MKIKAA KWENYE MADAWATI KAMA HIVI MTAKUWA NA UELEWA SANA: Meneja Mambo ya Jamii wa benki ya KCB Tanzania Hellen Siria, akiwafundisha wanafunzi wa darasa la Tatu katika shule ya msingi Hananasifu baada ya benki hiyo kukabidhi msaada wa madwati 100. Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yalitolewa  kwa shule za msingi  Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Afisa Mahusiano wa benki ya KCB Tanzania Salome Kessy akiangalia moja ya madaftari ya wanafunzi wa shule ya msingi Mkunguni ,baada ya benki hiyo kukabidhi msaada wa madawati 100 kwa shule hiyo. Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yalitolewa  kwa shule za msingi  Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 Afisa Mahusiano wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania ,Victoria Kisima  na Mwalimu Mkuu wa shule ya Mkunguni  Wifrida Lweyemamu  wakiangalia wanafunzi wa shule hiyo walivyonavyofurahia  msaada wa madawati 100, waliyopewa na benki hiyo . Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yalitolewa  kwa shule za msingi  Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam

Maafisa Mahusiano wa benki ya KCB Tanzania kutoka kushoto ni jinsi anatakavyojisomea baada ya kupata dawati la kushoto , Victoria Kisima   na kulia ni Hellen Siria wakionyesha na mwanafunzi wa shule ya msingi jinsi watakavyo tumia madawati  100 waliyopewa msaada  na benki hiyo. Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yalitolewa  kwa shule za msingi  Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.  
 Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasifu wakifuatilia mchakato wa kukabidhiwa msaada wa madawati 100 na benki ya KCB Tanzania.


Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasifu iliyopo eneo la Mkwajuni Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiwa wamebeba moja ya Dawati kati ya madawati 100 waliyopewa msaada na benki ya KCB Tanzania .Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi 121 yalitolewa  kwa shule za msingi  Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment