Mwenyekiti wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund
Mndolwa akisalimiana na mmoja wa wanafuzi wa Shule ya msingi ya Sinza katika hafala ya kukabidhi msaada wa
madawati 700 kwa shule za msingi 6 na sekondari moja zote za Wilaya ya Kinondoni. Jumla ya
shilingi iliyofanyika katika Shule ya msingi Mbuyuni iliyopo Oysterbay jijini
Dar es Salaam,kwa shule 6 za msingi na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni ,Madwati hayo yamegharimu kiasi cha shilini
milioni 121.
Mkuu
wa Shule ya Sekondari ya Oysterbay Gradius
Mhina akipokea msaada wa madawadi 100 kutoka kwa Mwenyekiti wa Benki ya Biashara ya KCB
Tanzania DR.Edmund Mndolwa, katika hafla ya makabidhiano yaliyofanyika katika
shule ya msingi Mbuyuni jijini Dar es Salaam. Jumla ya madawati 700 yenye
thamani ya shilingi Milioni 121 yalitolewa kwa shule za msingi 6 na Sekondari 1
ya Osyterbay
Mkuu wa Shule ya msingi ya Mkunguni iliyopo Wilya ya Kinondoni Winfrida Lweyemamu
akikabidhiwa msaada wa madawadi 100 na Mwenyekiti wa Benki ya Biashara ya KCB
Tanzania DR.Edmund Mndolwa, katika hafla ya makabidhiano yaliyofanyika katika
shule ya msingi Mbuyuni jijini Dar es Salaam. Jumla ya madawati 700 yenye
thamani ya shilingi Milioni 121 yalitolewa kwa shule za msingi 6 na Sekondari 1
ya Osyterbay.
Mwenyekiti
wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund Mndolwa akimkabidhi Mwalimu Mkuu
wa Shule ya Msingi Mbuyuni Dorothy Malecela
msaada wa madawati 100 kwa ajiri ya shule hiyo wakati wa hafla ya
kukabidhi madawati 700 kwa shule za msingi za Mbuyuni, Mkunguni, Msasani B,
Sinza, Makumbusho Hananasif na sekondari ya Oysterbay zote za wilaya ya kinondoni jijini Dar es
Salaam, madawati hayo yamegharimu kiasi cha Shilingi Milioni 121 Zilizotolewa
na Benki hiyo
Mwenyekiti wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund
Mndolwa akisalimiana na mmoja wa wanafunzi wa shule ya msingi Sinza baada ya kukabidhi msaada wa madwati 100 kwa
shule hiyo wakati wa hafla iliyofanyika
katika shule ya msingi Mbuyuni jijini Dar es Salaam, Benki ya KCB imekabidhi msaada wa madawati
700 yenye thamani ya shilingi milioni
121 kwa shule za msingi za Mbuyuni, Mkunguni, Msasani B, Sinza, Makumbusho,
Hananasif na sekondari ya Oysterbay zote
za wilaya ya kinondoni jijini Dar es Salaam, kutoka kulia ni Mkuu wa Idara ya Masoko na Mahusiano wa KCB,Christina Manyenye na
Mkuu wa shule ya msingi Sinza Emmanuel Mtakula.
Mwenyekiti wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund
Mndolwa akisalimiana na mmoja wa wanafunzi wa shule ya msingi Msasani baada ya kukabidhi wa msaada wa madwati 100
kwa shule hiyo wakati wa hafla iliyofanyika
katika shule ya msingi Mbuyuni jijini Dar es Salaam, Benki ya KCB imekabidhi msaada wa madawati
700 yenye thamani ya shilingi milioni
121 kwa shule za msingi za Mbuyuni, Mkunguni, Msasani B, Sinza, Makumbusho,
Hananasif na sekondari ya Oysterbay zote
za wilaya ya kinondoni jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Victoria Kamuli na Mkuu wa Kitengo cha Uendeshaji na
Teknolojia wa KCB Rojas Mdoe.
Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif jijini Dar es
Salaam, wakishuhudia Mwalimu wao Mkuu Peter Kimangano akikabidhiwa msaada wa
madawati 100 na Mwenyekiti wa
Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund Mndolwa, wakati wa hafla
iliyofanyika katika shule ya msingi
Mbuyuni jijini Dar es Salaam, Benki ya
KCB imekabidhi msaada wa madawati 700
yenye thamani ya shilingi milioni 121 kwa shule za msingi za Mbuyuni,
Mkunguni, Msasani B, Sinza, Makumbusho, Hananasif na sekondari ya
Oysterbay zote za wilaya ya kinondoni
jijini Dar es Salaam,
. Mwenyekiti
wa Benki ya Biashara ya KCB Tanzania DR.Edmund Mndolwa akipanda mti katika viwanja vya shule ya msingi Mbuyuni
jijini Dar es Salaam, baada ya kukabidhi msaada wa madawati 700 yenye thamani
ya shilingi milioni 121. kwa shule za msingi Mbuyuni, makumbusho, Mkunguni,
Hananasif, Msasani B ,Sinza na Shule ya Sekondari ya Oysterbay (kila shule ilikabihiwa madawati 100)zote za
Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya
msasani Christina Kirigiti na Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa KCB Chiristina
Manyenye
No comments:
Post a Comment