Monday, April 2, 2012

MAMA ASHA BILAL AADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI KWA KUPANDA MITI ENEO LA MAKAZI YA MAKAMU.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akipanda mti Aprili 01, 2012, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya upandaji miti inayoadhimishwa nchini kote kila ifikapo Aprili 01, kila mwaka. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.

No comments:

Post a Comment