Viongozi mbalimbali wa nchi ,wakiwa katika viwanja vya Leaders kuanga mwili wa Steven Kanumba,kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mexcedeck, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe,Waziri wa Nyumba ,Ardhi na Makazi Prof. Anna Tibaijuka , Mbunge wa Kinondoni Idd Azan.
Tuesday, April 10, 2012
UMATI WA WATU WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA MSANII WA FILAM TANZANIA STEVEN KANUMBA .
Viongozi mbalimbali wa nchi ,wakiwa katika viwanja vya Leaders kuanga mwili wa Steven Kanumba,kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mexcedeck, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe,Waziri wa Nyumba ,Ardhi na Makazi Prof. Anna Tibaijuka , Mbunge wa Kinondoni Idd Azan.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment