Monday, April 9, 2012

WANANCHI WAZIDI KUFURIKA NYUMBANI KWA MAREHE STIVEN KANUMBA KUHANI MSIBA.

Umati wa watu wakiwa katikamsiba wa Kanumba eneo la Sinza Vatikan.
Watu wakiwa katika msiba wa Kanumba leo nyumbani kwake Sinza,Mazishi yatafanyika kesho katikamakaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,
Mmoja wa waombolezaji akiwa amezimia.
Baadhi ya wanakamati wa kamati ya mazishi wakiwa katika mjadala wa namna ya kufanikisha mazishi.
Watu kutoka katika pande zote za jiji la Dar es Salaam, wakiwa na huzuni katika msiba wa Steven Kanumba,nyumbani kwake Sinza Vatican.

No comments:

Post a Comment