Tuesday, April 3, 2012

WANACHAMA WA CHAMA CHA CCM WAKUTANA KUWACHAGUA WABUNGE WATAKAO WANIA NAFASI ZA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI.

Wanachama wa CCM wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Karimjee jijini Dar es Salaam, hivi sasa wakisubilia kufanya uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki.
Waziri MkuuM staafu Edward Lowasa akiwa na Waziri wa Nyumba na Ardhi Prof.Anna Ntibaijuka wakiwa miongoni mwa wanachama wa CCM wakiwa miongoni mwa wanachama waliohudhulia katika uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kupitia chama hicho.

Waziri Mkuu Kayanda Mizengo Pinda, akisalimiana na mmoja wa wanachama wa CCM waliohudhulia katika uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kupitia chama cha CCM.
Jengo la Karimjee ambalo hivi sasa ndilo wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wanafanyia uchaguzi wa wabunge wa Bunge la Afrika.

No comments:

Post a Comment