Mmoja wa wapiga Drams Ali akionyesha manjonjo yake .
Baadhi ya wanenguaji wa kiume wakifanya vitu vyao.
Waneguaji wa bendi ya Twanga Pepeta wakiwajibiki hivi karibuni wakati walipokuwa wakitumbuiza katika Viwanja vya Leaders Club siku ya Jumapili, bendi hyo iliondokewa na waimbaji wake mahili akiwemo Kalala Junior na Halid Chokolaa ambao walihamia katika bendi ya Mapacha watatu, Uvumi ulioene katika bembe zote za jiji la Dar es Salaam, inasemekana Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ya Aset Asha Baraka yupo katika hatua za mwisho za kumrudisha Kalala Junior ,baada ya kukorofiana na wenzake waliokuwa wakiunda kundi lao la Mapacha watatu.
No comments:
Post a Comment