Wednesday, June 6, 2012

MISS CHANG'OMBE MWENDO MDUNDO MWAKA HUU TENA .

Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Bw. Hashim Lundengaakisisitiza jambo wakati alipoongea na warembo hao leo, kutoka kushoto ni Aidan Rico Afisa uhusiano Miss Tanzania , mmoja wa warembo walioshika nafasi za juu miss Tanzania mwaka jana na Albert Makoye mkuu wa itifaki Miss Tanzania.
 Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Bw. Hashim Lundengaakisisitiza jambo kwa washiriki wa shindano hilo wakati alipotembelea kambi hiyo kujionea jinsi warembo walivyojiandaa.
Baadhi ya washiriki wa shindano la kumtafuta mrembo wa kitongoji cha Chang'ombe wakiwa katika pozi la picha wakati wa mazoezi yanayoendelea katika viwanja vya TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam, Shindano hilo linategema kufanyika Jumamosi  wiki hii.

No comments:

Post a Comment