Mke wa Rais wa Kwanza Tanzania Hayati Mwalimu Julius Nyerere akisalimiana na baadhi ya Wabunge wakati wa hafla hiyo.
Shyrose Banji ambaye pia ni mbunge wa Afrika Mashariki akiwa na Wabunge ambao nimrafiki zake wakati wa hafla.
Makofi na ndelemo vilitawala katika jafala hiuyo.
Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Maendeleo Chadema Halima Mdee naye alikuwepo katika hafla hiyo.
Wageni waaalikwa na wabunge wa EAT wakipata bata tu.
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki upande wa Tanzania jana usiku mara baada ya sherehe za Kuapishwa na uzinduzi wa Bunge hilo jipya la tatu walifanya sherehe ndogo ya kujipongeza iliyofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace ya mjini hapa na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwapo ndugu jamaa na marafiki.
No comments:
Post a Comment