Friday, August 10, 2012

NGASA ALIVYONG'ALA WAKATI WA MCHEZO WA KIRAFIKI KATI YA SIMBA NA NAIROBI CITY STAR.

 Kikosi cha Simba .
 Kikosi cha Nairobi City Star kilicho ifunga Simba mabao 3-1.
 Mrisho Ngasa akiwa katika halakati za kumiliki mpira wakati wa mechi ya kirafiki na timu ya Nairobi City Star.
 Ngasa akifanya viti vyoka wapenzi wa Simba wamfagilia kwa sana.
Mrisho Ngasa Kulia akijaribu kumtoka beki wa timu ya Nairobi City Star wakati wa mchezo wao ulifanyika Uwanja wa Taifa akiwa ni siku ya Simba Day ambapo klabu hiyo iliwatambulisha wajezaji wale wapya.

No comments:

Post a Comment