HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA.
Wafanyakazi wa Chuo Cha Elimu ya Biashara CBE walivyoshiriki katika sherehe ya Send off ya Mfanyakazi mwenzao Sabina Alexander iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Msimbazi Center jijini Dar es Salaam. Picha ya mwisho Sabina anamkabidhi keki mmoja wa viongozi wa chuo hicho kwa niaba ya wafanyakazi wote.
No comments:
Post a Comment