Friday, April 19, 2013

KONA YA BIASHARA YA WAJASILIAMALI WADOGO WADOGO NCHINI.

Vijana  hawa wakazi wa Charambe nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, wakicheza na Nguruwe ikiwa ni sehemu ya ufugaji wao.
 
Ujasiliamli wa vijana wa sasa hapo ni eneo la Mikumi Mkoani Morogoro.
Duka hili limeziba kabisa nyumba hapa ni sehemu ya mtongani karibu na kituo cha Msikitini jijini Dar es Salaa pichani baba mwenye nyumba akiwa kifua nje huku mtoto mdogo akijiandaa kuingia ndani ,biashara kama hii imeshamili katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam.
Hivi ndio ujasiliamali pamoja na kupandishwa kwa nauri watu hawa hutumia nauri yap vizuri sana , Pichani niwafanya biashara ya Njegere katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, wakiwa wamebeba mizigo yao ya Magunia ya Njegere , kunde na maharage.
Mzee wa Busara aliyejitambulisha kwa jina la Juma Ali Mkazi wa Tandike Temeke akipanga njegere katika soko la Tandika Fungu moja huliuza kwa shilingi 100 hadi 500 kulingana na ukubwa wake.

No comments:

Post a Comment