Liz Wachuka akitaoa mafunzo kwa wanabloggers wakati wa Warsha ya siku mbili iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Bwana Alex wa Jamii Forums akitoa mada wakati wa Warsha hiyo.
Pili Mtambalike wa MCT akitoa mada wakati wa Warsha ya Bloggers .
Baadhi ya wanamitandao( Bloggers ) mbali mbali hapa nchini wakiwa kwenye Warsha
hiyo ya siku mbili iliyofanyik kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza
B,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwasilisha
mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati
wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers)
hapa nchini,iliyoanza rasmi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu
ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es
Salaam.
Bwana Benard Rwebangila akikabidhiwa Cheti na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Profesa John Nkoma.
Mmiliki wa Mtandao wa Mbeye yetu naye hakuwa nyuma akikabidhiwa cheti na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA,Profesa John Nkoma.kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akifafanua jambo wakati wa Warsha ya
siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa
nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es
Salaam.
Bashiri Nkoroma ambaye anamiliki mtandao wa chachandu blogs .com akikabidhiwa cheti na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Tanzania Profesa John Nkoma.
Dada la nguvu Shamimu akibidhiziwa cheti na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.Kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungi.
Mmiliki wa mtandao wa Father Kidevu Mroki Mroki akikabidhiwa cheti cha kuhitimu mafunzo hayo na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Profesa John Nkoma.
Mmiliki wa Blogs hii ya Pwaniraha2news.blogs Albart Jackson akikabidhiwa cheti na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA.Profesa John Nkoma
M
Jef Msangi Bongo akitoa shukrani kwa niaba ya wanabloggers kwa uongozi wa TCRA.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano akiteta jambo na Mwanzilishi wa Mtandao wa Jamii Forums Mike Mushi.
No comments:
Post a Comment